tiko
tiko
Kumekuwa na tetesi kuwa waigizaji, JB,
Mzee Majuto na Zembwela hivi sasa wapo kazini kutengeneza filamu
lakini hadi sasa hawajaamua kuweka wazi swala hili. 

Kwamujibu wa watu wa karibu na wasanii
hao, inasemekana bado hawajaanza kushuti ila wapo kwenye hatua za awali
za maandalizi ya kuanza kufanya kazi , wadau wengi
Kama wewe ni mfuatiliaje wa mitandao ya
kijamii utakubali kuwa wakali hawa kwa siku za hivi karibuni wameonekana
muda mwingi wakiwa pamoja.

JB kupitia mtandaoni aliweka picha hiyo
hapo juu wakiwa pamoja wake kaaa na kuandika kuwa wapo njiani kuelekaia
Wilaya ya misungwi.
“Gari imeharibika safarini kuelekea misasi wilaya ya misugwi”
Jionee baadhi ya picha za hivi karibuni za wakali hawa hapo juu.
Unadhani ni kweli kazi ya jamaa hawa itakuwa kali ya mwaka!!!
tiko
tiko
Post a Comment