Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Baba na binti yake kwenye uhusiano miaka 12! walichokiamua sasa ndio Stori…

tiko tiko
ringggImezoeleka kuona uhusiano wa karibu kati ya mzazi na mtoto wake lakini si uhusiano wa mapenzi kama ambavyo binti huyu wa miaka 18 ameamua kufanya kwa kuwa na uhusiano na baba yake mzazi na sasa ametangaza kutaka kufunga nae ndoa.
Msichana huyo anayeishi katika mji wa New Jersey ambaye alifanya mahojiano na jarida la New York alieleza kuwa amekua katika mahusiano na baba yake huyo kwa miaka 12 sasa mara baada ya mama yake kufariki na sasa wamemua kuvunja ukimya kwa kufunga ndoa.
Ndugu wa familia yetu kwa upande wa mama walijua tupo na ukaribu kama baba na mtoto wake lakini kwa upande wa ndugu wa baba walijua sisi ni wapenzi na walikua wakituchukulia kama wapenzi wengine,”alisema binti huyo ambaye jina lake halikuweza kuwekwa hadharani.
Alisema baada ya kufunga harusi wamepanga kuhama katika mji wa New Jersey ambapo watu wengi wamekua wkaipinga mahusiano yao na kwenda kuishi sehemu nyingine.
Nakuhakikishia kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top