tiko
tiko
Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie Habari Moja Kwa Moja ..Bofya HAPA ULIKE PAGE YETU!..
Hii
inatoka Nigeria, Sunday Osemwekhe alifikishwa Mahakamani kwa kosa la
mauaji na amekubali kwamba alifanya kosa hilo, lakini chanzo cha ugomvi
wao ilikuwa shutuma alizompa kaka yake kwamba alimuibia supu.
Ugomvi
ukaenda mbali zaidi, Osemwekhe aliamua kuchukua panga na kumjeruhi kaka
yake huyo sehemu mbalimbali za mwili, ambapo baada ya kufikishwa
Hospitali alifariki kutokana na majeraha makubwa.
Uchunguzi
wa Polisi Nigeria umeonyesha kuwa mtuhumiwa alishikwa na hasira baada
ya kuangalia supu yake aliyoiacha kwenye sufuria ya supu na kugundua
haikuwa kama alivyoiacha, mzozo ukaanza kati yake na kaka yake, hasira
zilipozidi Osemwekhe alichukua panga na kumpiga kaka yake na
kumsababishia majeraha makubwa.
Kupata Habari Na Matukio Ya Kila Siku Like Page Yetu
tiko
tiko
Post a Comment