tiko
tiko
Tuonane January Concert ni tamasha ambalo wasanii wameamua
kushirikiana pamoja kwa ajili ya kusema na vijana kuhusu kuchagua
viongozi ambao watakuwa wa kisasa na si wa kisiasa.Baada ya Morogoro leo ilikuwa ni zamu ya wakazi wa Dar es Salaam (88.5CloudsFM) kupokea burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali akiwemo, Shilole, Fareed Kubanda aka Fid Q, Chege na Mh. Temba, Mwana FA, Dogo Janja, Mwasiti, God Zilla na wengineo.
Nakuhakikishia kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment