tiko
tiko

Unaambiwa hili ni moja ya magari ya kifahari anayomiliki staa wa soka Samuel Eto’o ambae anaichezea Chelsea sasa hivi huku akitajwa kuwa staa wa soka anaeshika namba 3 kwa utajiri duniani akiwa nyuma ya Ronaldo anaeshika namba 1, na Lionel Messi anaeshika namba 2.
Hizi ni baadhi tu ya pichaz kutoka kwenye video yenyewe hapo chini ambayo ndio unaweza kulitazama hili gari vizuri hata kumuona yeye mwenyewe akiliendesha.



)
Nafasi ya kutopitwa na stori yoyote
tiko
tiko
Post a Comment