Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

KUPATA AU KUKOSA

tiko tiko

Binti mmoja ambaye alikuwa ni mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule moja jijini alimwacha hoi mzazi wake baada ya kuja na mkasa wa kusisimua na kuhuzunisha pia.
Siku hiyo ilikuwa ni majira ya saa kumi jioni binti huyo alirejea kutoka shule na kuwakuta wazazi wake wote wawili walioamua kumsomesha kwa hali na mali ili binti yao aje kuwa na maisha bora siku moja.

Baada ya kufika nyumbani binti huyo alianza kumpanga mzazi wake huyo wa kiume,
Mtoto: Baba kuna swali leo nataka kukuuliza!
Baba: Ushaanza na wewe maswali yako,ehee uliza!
Mtoto: Hivi baba, kupata na kukosa bora kitu gani?
Baba: Ahaaa! Mwanangu siku zote bora kupata.

Mtoto: Basi mimi nimepata mimba!
Yule baba akaanguka na kuzimia! Story itaendelea akizinduka!
**********
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top