Wema Sepetu na Kajala Masanja Walikuwa Marafiki wa kufa mtu , baada ya
Wema Kumlipia Kajala Mil 13 ili aachiwe kutoka Gerezani Kajala
alijichora Tattoo mgongoni mwake yenye jina la Wema , Sasa am just
wondering kama hiyo tattoo bado anayo baada ya urafiki wao kuvunjika kwa
muda mrefu?
Hii hapa ndio ilikuwa habari ya Kajala kujiweka Tattoo ..bonyeza Hapa:
Kajala Aamua Kujichora Tattoo ya Wema Sepetu Kumuenzi
Post a Comment