tiko
tiko
MWIGIZAJI Wema
Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na mtanashati wa Bongo Movies, Hemed
Suleiman ‘PhD’ wamekutana katika kushuti muvi moja inayokwenda kwa jina
la ‘MAPENZI YAMEROGWA’, kazi ambayo inaendelea kwa umakini katika maeneo
ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Wema, filamu hiyo ambayo pamoja na waigizaji wengine,
imemshirikisha pia mwigizaji maarufu, Neema, itaonyesha ni jinsi gani
mapenzi yanavyowachanganya wahusika.
<<<BOFYA HAPA >>>
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment