tiko
tiko
Staa wa Bongo Movie, Rose Ndauka hivi
karibu alijikuta akimwaga machozi baada ya kutembelea shule ya watoto
wenye ulemavu ya Salvition Army, iliyopo Kurasini jijini Dar.
Staa huyo akiwa na timu yake ya Rozzie
Magazine, walibeba misaada mbalimbali ikiwemo mchele, mafuta, maharage
na sukari ambapo mara baada ya kufika kwenye ukumbi maalum uliotaarishwa
kwa ajili ya kuzungumza na watoto hao, alishikwa na moyo wa huruma na
kudondosha machozi.
Kuna kitu nimejifunza hata kama hatuna
tunahitaji kuja kuonana na watoto hawa kuzungumza nao na kuwafariji
hivyo hata wasanii wenzangu wanapaswa kufanya hivi kwani ni muhimu
katika maisha yetu,” alisema Rose
tiko
tiko
Post a Comment