Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Picha:Safisha Macho na Hizi za ‘Bethidei’ Pati ya Meneja wa Wema, Martin Kadinda Hapo Jana

tiko tiko






Siku ya jana ilifanyika bonge la sherehe ndani ya MOG bar &restaurants zamani nyumbani lounge, ilikuwa ni meneja wa staa Wema Sepetu, Martin  Kadinda alikuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa, Mastaa na watu wake  wakaribu walikuwepo ndani ya nyumba. 
Jionee baadhi ya picha za tukio zima hapo juu.
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top