tiko
tiko
Picha hizi za staa na mrembo kutoka
Bongo Movies, Shilole ‘Shishi bybee’ alizozibandika leo kwenye ukursa
wake mtandaoni zimewapagawisha wengi na kuzua mzozo huku wengine
wakimmwagia sifa mwanamama huyu wa watoto wawili , kuwa anaonekana kama
ni mdada wa miaka 20+
na wengine kuvuka mpaka na kusema
mwacheni Mziwanda ambae ni mchumba wake aendelee kung’ang’ania hata kama
anapewa kichapo mara kwa mara kwani Shishi bybee ni mtamuu zaidi ya
mcharoo.
Kiukweli Shishi ametokelezea,jionee hapo juu
tiko
tiko
Post a Comment