Akiongea mbele ya wachungaji wa
madhehebu mbalimbali ya kikristo waliokwenda kumshawishi agombee urais
wa Tanzania, Lowassa amesema hawezi kumjibu mtu aliyebwabwaja katika
magazeti kuwa anakusanya watu eti kwa lengo la kupata uungwaji mkono!
Amesema akimjibu atampa ujiko hivyo amemdharau! Katika magazeti ya leo yalimnukuu
Makamba akidai kuwa kuna watu wanatumia fedha zao kusafirisha na
kuwalipa watu ilikujionyesha mbele ya jamii kuwa wanashawishiwa kuomba
urais!
Post a Comment