tiko
tiko
“Wapenzi mnaotukana kisa nimevaa kipini kwa pua msipoteze muda hiko
akitoki ndo kimeshafika zaidi nitakua tuu na badilisha leo cha njano
kesho chekundu, why mnakua wagumu kuelewa kinipendeze kisinipendeze ni
mimi so please msinijazie comment za zamatusi nakukosoa kwenye picha
zangu kama nyie ndo wavaaji sitaki ushauri sitaki jamani pipo chilaaax
me nakipini dam dam... in love with my kipini najikuta jacq khan
mwenzenu kila nikijitizama....Am so soleee. Nawapenda sana napenda
ushauri lakini kipini kiacheeni pua kitasharikiana na pua na uso
kushauriana kwamba leo kivaliwe au kisivaliwe lakini siyo wewe mtukanaji
ok byeeeee”-Wolper amebandika andiko hilo kwenye ukurasa wake
mtandaoni.Nadhani ameeleweka, wale wanaomshabulia kwa lugha kali muache jamani.
Mzee wa Ubuyu
tiko
tiko
Post a Comment