Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Zitto Awa Mbogo Amtaka Waziri Nyalandu Kujiuzulu Akishindwa Kutoa Tangazo Gazetini Leo Jioni

tiko tiko
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ifikapo leo jioni awe ametoa tangazo katika gazeti la serikali ili kuruhusu tozo mpya za mahoteli kwenye hifadhi la sivyo ajiuzulu cheo chake.
Zitto ameyasema hayo leo wakati akichangia kwenye majadiliano ya hoja za kamati bungeni.

Zitto amesema kuwa serikali inapoteza shilingi bilioni 2 kila mwezi kwa kitendo cha Waziri wa Utalii kutotoa tangazo katika gazeti la Serikali ili kuruhusu tozo mpya za mahoteli katika Hifadhi.
Tangu mwaka 2011 mpaka 2014, Serikali imepoteza tshs 80 bilioni.
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top