MPENZI
wa staa wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' Zarinah
Hassan 'The Boss Lady' amemtakia heri ya kuzaliwa wifi yake Esma kupitia
akaunti yake ya Instagram huku post yake ikizua jambo kwa mashabiki.
Zari.
Zari
ambaye bado yupo Bongo, katika post yake hiyo awali aliandika 'Happy
bday to my lovely shemeji wifi' ila baadaye aliamua kubadilisha baada ya
baadhi ya mashabiki wake kumkosoa huku wengine wakidai anatafuta kiki
na baadhi wakimtolea maneno ya kuudhi. Usahihi alitakiwa kutumia neno
WIFI na siyo SHEMEJI ambalo huwa linatumika kwa mvulana!
Post a Comment