tiko
tiko
Waziri
wa Ujenzi, Dk John Magufuli alitoa taarifa hiyo wakati wa hafla ambayo
serikali ya Japan ilitia saini mkataba wa kusaidia serikali fedha za
ununuzi wa magari ya kubebea wagonjwa katika Hospitali ya Taifa
Muhimbili na mashine ya kukamulia mafuta ya alizeti wilayani Chato.
Ingawa Magufuli hakuzungumzia undani wa mchakato huo, alisema taratibu zinaendela vizuri kwa ajili ya ujenzi huo.
“Tunatarajia kutangaza tenda ya ujenzi wa barabara za juu mapema mwezi wa tatu mwaka huu,” alisema Magufuli.
Ujenzi
wa barabara za juu jijini Dar es Salaam, ulifikwa na serikali ikiwa ni
hatua mojawapo ya kupunguza tatizo la msongamano wa magari,
unaosababisha foleni kubwa na adha kwa wananchi.
Barabara za juu zinatarajiwa kujengwa katika eneo la Tazara na eneo la Ubungo.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment