tiko
tiko
Moja ya hits zilizowahi kufanya vizuri East Africa ni hii collabo ya ALICIOS feat. JULIANA KANYOMOZI, ‘Mpita Njia’.
Alicios
ni raia wa Congo ambaye anaishi Kenya, moja ya sifa kubwa na za kipekee
alizonazo ni uwezo wake kuimba kwa lugha nne tofauti, kiingereza,
kiswahili, kilingala na kifaransa.
Hapa nakusogezea video ya wimbo wake mpya, ‘Loved By You’ uliofanya na director Johan Lundstane.
Dakika zako nne kuitazama hii hapa.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment