Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Tutegemee collabo kati ya msanii wa Bongo Fleva na Kcee wa Nigeria? stori iko hapa

tiko tiko
.
.
Ukizungumzia miongoni mwa wasanii wa Tanzania ambao nyimbo zao huchezwa hadi kuingia kwenye Top 10 za radio Nigeria basi Mkali wa hit single ya Kerewe, Sheta lazima awepo kwenye list yako.
Shetta ambaye kwasasa yupo Afrika Kusini ameonekana akiwa na mkali wa hit single ya Limpopo, Kcee kwenye maandalizi ya video mpya lakini bado haijajulikana  video hiyo inayotengenezwa ni ya nani.
Siku chache zilizopita kupitia instagram, Kcee alipost picha akiwa na Shetta na kuandika;…“Work mode: on set with my bro @Shettatz no time…”—- @
.
Sheta akiwa n Kcee.

Work mode: on set with my bro @shettatz no time

A photo posted by KCEE LIMPOPO (@iam_kcee) on

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top