Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Serena Williams aendelea kuwakimbiza kwenye Tennis

tiko tiko
Serena Wills
Umri wake ni miaka 33, Serena na Venus ni ndugu, mtu na dada yake na wote ni wachezaji wa mchezo wa Tennis, tumeshuhudia mara nyingi namna ambavyo wanafanya vizuri kwenye mchuano hiyo kwa kipindi kirefu duniani na kuvunja rekodi mbalimbali.
Sio mara moja wawili hao wamekutana uwanjani na kushindana, lakini jana January 31 ilikuwa ni fainali ya michuano ya Australia Opens, uwanjani ilikuwa kati ya Serena Williams na Maria Sharapova ambapo Serena aliendelea kuweka rekodi yake nzuri kwenye mchezo huo kwa kuibuka mshindi.
.
Serena Williams na Maria Sharapova.
.
Serena na Venus Williams. Hapa ilikuwa ni siku za nyuma walipokutana kwenye michuano ya Tennis
TENNIS-OPEN-AUS-FINAL
Hapa unaweza kucheki ilivyokuwa wakati akikabidhiwa Tuzo yake.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top