tiko
tiko
“Wadau na wasanii wote mnaotaka kuigiza msidanganyike na account hii ya Facebook SIYO YANGU NI FAKE.
Maana napata tabu sana Ofisini kwangu watu wanakuja kudai Hela wakisema
kuwa Eti Mimi nimetangaza usahili kupitia kwenye account hiyo hapo juu
fake Kuwa nahitaji wasanii ni uongo mtupu mnaibiwa pesa zenu na namba
anayotumia kuwaibia Watu Hela ni hiii hapa 0779 946440.
Msidanganywe ni matapeli hao Mimi Sijatangaza Chochote kwenye Facebook. Im done hope That You Have All understood Me”.
Muigizaji Vicent Kigosi ‘Ray’ aliandika hayo mtandaoni mara baada ya
kubandika picha hiyo hapo juu ikionyesha account hiyo feki ilivyotoa
tangazo hilo.
Jamani tuweni makini na matapeli kwenye mitandao ya kijamii.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment