tiko
tiko
MWIGIZAJI wa
sinema za Kibongo, Lucy Komba ambaye hivi karibuni alifunga ndoa na
Janus Stanley, raia wa Denmark, amesema kuwa ameamua kunyoa rasta zake
alizozifuga kwa muda mrefu kwa kile alichodai matakwa ya ndoa.
Akizungumza na mwandishi wetu, Lucy alisema kuwa ameamua kunyoa nywele
zake hizo kwa kuwa anaona ni mke wa mtu anatakiwa kubadilika na kuwa
tofauti kidogo na alivyokuwa huko nyuma.
“Unajua lazima kuwe na tofauti kidogo, zamani na sasa, hivyo nimeamua kunyoa kuleta utofauti,” alisema Lucy.
“Unajua lazima kuwe na tofauti kidogo, zamani na sasa, hivyo nimeamua kunyoa kuleta utofauti,” alisema Lucy.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment