tiko
tiko
KIJANA mmoja anayedaiwa kuwa kibaka
ambaye hakufahamika jina lake mara moja jana amepokea kichapo kutoka kwa
wananchi baada ya kudaiwa kutaka kupora taa za gari la mwananchi mmoja
maeneo ya Upanga jijini Dar es Salaam jana.
tiko
tiko
Post a Comment