tiko
tiko
Haya ni maoni ya mwanasheria kijana, Alberto Msando kuhusu makosa ya uandishi wa lugha ya kingereza kwenye kasha la filamu ya Mzee wa Swaga, iliyotengenezwa na kampuni ya Jerusalem, inayomilikiwa na msanii nguli wa filamu, Jacob Stephen 'JB '.
Alberto aliandika haya mara baada ya kubandika picha hiyo ya kwenye kasha :
“Bado
ni marafiki zangu tu. Ninachotaka ni sanaa yenu ipendwe na watanzania
waithamini. Soko la ndani ni kubwa sana. Ila endapo tu mtazingatia
ubora.
"Najua
mtaji wa kuwekeza kwenye filamu ni kazi kuupata. Basi hayo makubwa
tuyaache. Tubaki na haya madogo ambayo yako ndani ya uwezo wenu.
"Hakuna from produced of shikamoo mzee. Na hakunaenterianments. Kiswahili ni sawa pia kutumia. Kwani ingeandikwa'Imeandaliwa na' kuna shida?
"Na hakuna auto correct ya entertainment? UTASIKIA utetezi wa kitoto; sio lugha yetu!! Au ni bahati mbaya!”-Alberto alimalizia
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment