tiko
tiko
Muigizaji
na muongozaji wa filamu, Vicent Kigosi ‘Ray’aliayasema hayo mara baada
ya kubandika picha ya kasha ya filamu hiyo hapo juu.
“Dahaaa leo katika pita pita yangu nimekutana na hii picha yani
nikakumbuka mbali sana kuwa tulifanya jitihada kubwa sana mimi Ray The
Greatest na marehemu Kanumba The Great kuifikisha tasnia hapa ilipo na
kila mtu kutamani kuigiza lakini kipindi hiki nakumbuka tulikuwa
tukiitwa wauza sura. DANGEROUS DESIRE embu niambie mdau unakumbuka nini
kuhusu sinema hiii?”. Ray alimaliza.
Hebu tutiririke hapa wale tunaoikumbuka hii.
BOFYA HAPA HABARI ZAIDI
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment