tiko
tiko
STAA wa
sinema za Kibongo, Kulwa Kikumba, amesema licha ya kuishi na mzazi
mwenzie kwa zaidi ya miaka kumi, anashindwa kuoa kwa sababu akili yake
siyo nzuri.
Akipiga stori mbili tatu na mwanahabari wetu, Dude alisema linapokuja
suala la kulaumiwa kuchelewa kuoa, anastahili kwani hakuna kitu
kinachomsababisha asioe zaidi ya akili yake kuwa mbovu.
“Mimi akili yangu tu bwana ndiyo mbovu, hakuna kitu cha ziada
ninachoweza kujitetea, kama kuona ningeoa siku nyingi sana, nashindwa
basi tu,” alisema Dude.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
tiko
tiko
Post a Comment