tiko
tiko
Muonekano wa Dereva huyo baada ya kujipiga risasi.
Dereva
wa Mkuu wa Wilaya Manyoni, Singida amejiua kwa kujipiga risasi kichwani
leo, chanzo bado hakijajulikana japo ameacha ujumbe kuwa asilaumiwe
mtu.
Mtandao huu ulimpigia simu Mkuu wa Polisi Mkoa wa Singida ACP Geofrey Kamwela alisema amesikia tukio hilo lakini hakuwa na uhakika. "Naomba mnitafute baadaye nitakuwa na maelezo ya tukio hilo," alisema.
tiko
tiko
Post a Comment