tiko
tiko
BEAUTIFUL Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa anajuta kutumia kope za bandia kwa muda mrefu kwani zimeharibu kope zake za asili.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Wema
alisema awali alikuwa hawezi kutoka kwenda kokote bila kuweka kope hizo
na hata asipozibandika anajisikia vibaya lakini baada ya kumharibia
muonekano wake wa asili, hataki hata kusikia.
“Jamani hakuna kitu ambacho nimekichukia
kwa hivi sasa kama kope za bandia sina tena ushawishi nazo kabisa
zimeharibu macho yangu, situmii tena,” alisema Wema.
tiko
tiko
Post a Comment