Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

WATU 35 WAFARIKI DUNIA WAKISHEREKEA MKESHA WA MWAKA MPYA UKO NCHINI CHINA

tiko tiko
Mwaka Mpya: Maafa China 35 wafariki
Sherehe za kuupokea mwaka mpya 2015 zimegeuka kuwa majonzi baada ya watu thelathini na watano kufa kwenye taharuki ya kukanyagana kwenye msongamano wakati wakiiupokea mwaka mpya.
Maafa hayo yametokea katika mji Shanghai ambapo maelfu ya watu walikuwa wamekusanyika ili kuupokea mwaka mpya.
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top