tiko
tiko
KWA mara ya kwanza msanii wa filamu Bongo, Deogratius Shija amemwanika mwanaye na kudai ndiye faraja kwake kila anapomuona.
Shija alisema mwanaye aliyemtaja kwa
jina la Theresia Shija (14), amekuwa ni faraja kubwa katika maisha yake
na kila anapomwangalia anapata nguvu ya kufanya kazi.
“Ukweli nimekuza, mwanangu ndiyo ameanza
kidato cha kwanza kila ninapomwangalia napata nguvu ya kufanya kazi
zaidi ili niweze kumlipia ada aweze kupata elimu nzuri itakayomsaidia
maishani mwake,” alisema Shija.
tiko
tiko
Post a Comment