tiko
tiko
Ligi Kuu Tanzania Bara imeendelea leo January 31 katika viwanja mbalimbali ikiwemo Uwanja wa Taifa Dar, ambapo timu ya Simba Sports Club walikuwa wakipambana na JKT Ruvu kusaka point tatu muhimu za ushindi.
Mpaka dakika tisini zinakamilika matokeo yalikuwa hivi, Simba SC walikuwa na goli 2 wakati JKT Ruvu walishinda goli 1.
Matokeo hayo ni nafuu kwa Simba
kupata point tatu muhimu baada ya timu hiyo kutokana na kutoa sare
mechi saba, kufungwa mbili na hii imekuwa ni ya tatu kwao kupata ushindi
katika ligi hiyo.
Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment