Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

PETITI AFAGILIA MA BINTI WA UDOM....AJUTIA KUOWA MAPEMA NA HAPENDI KUMSALITI MKE WAKE

tiko tiko
Petiti akijiachia katikati ya watoto wa kijanja wa Udom katika College ya Humanities ...

Petiti baada ya kukutana na vitoto vidogo vidogo vyaUdom alionekana kuchanganywa sana na kutamani kama angekuwa hajaowa ila sema ndio hivyo tena,pete kidoleni ndio inayomchunga na kufanya aone haya.... Ila angekuwa hajaowa nina uhakika vingemkomaje sema ndio hivyo anaoneakana kumsheshimu mke wake na hapendi kumsaliti, Ila jamaa macho yalikuwa yanamtoka kinoma

Huyu hapa Meneja wa Boss Ngasa Tz akiwa na Petiti ndani ya chuo kikuu cha Dodoma
Huyo hapo JUU ni mmiliki wa Blog ya  Boss Ngasa Tz akifanya harakati za hapa na pale za  Entertainment ndani ya chuo cha Udom
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top