tiko
tiko
Juzi niliposti picha ya KITALE (Kwasasa
unaweza kumuita MKUDE SIMBA) akiwa anapigwa KISS ZITO na PENNY lenye
hisia kali (Daah mtoto P hadi akafumba macho).....Nikawaachia wadau
MKOMENT..Sasa leo tena mwanadada Penny Kupitia akaunti yake ya INSTAGRAM
ametupia hii....
tiko
tiko
Post a Comment