tiko
tiko
“Namshangaa sana huyu mwenzetu sijui
anachomfichia huyo mtoto ni kitu gani, angeficha ujauzito watu
tungeelewa labda sababu za uswahili, lakini mtu umeshajifungua unaogopa
nini?” kilihoji chanzo chetu kilichodai kuwa Snura amejifungua mtoto wa
kiume.
Mkali huyo wa kibao cha Majanga
alitafutwa kwa simu yake ya mkononi, alitoa ushirikiano vizuri lakini
alipoulizwa kuhusiana na madai hayo, aliruka kimanga, akidai kuwa yeye
siyo Snura na kukata simu.
tiko
tiko
Post a Comment