Mke
wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akiwaonyesha baadhi ya wake wa viongozi
zabibu zilizolimwa kwa kufuata ushauri wa watalamu wa kilimo,zilizolimwa
shambani kwa Waziri Mkuu Zuzu nje kidogo ya Dodoma mjini,wakati
walipotembelea ili kupata utalaamu wa kulima kilimo cha Zabibu unavyo
fanywa.kutoka kushoto ni Mama Malima,Mama Mashiba na Mama Lukuvi.
Mke
wa Naibu Waziri wa Fedha,Mama Naima Malima akionyesha utaalamu wake wa
kutumia kamera,wakati alipokuwa akimpiga picha Mke wa Waziri Mkuu,Mama
Tunu Pinda (hayupo pichani).Picha na Chris Mfinanga
Post a Comment