Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

MADAHA: NAOTA NAFANYA MAPENZI KILA SIKU

tiko tiko
Msanii wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha. 

IMEVUJA! Msanii wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ametoa kali ya mwaka baada ya kueleza sababu za kutodumu na wanaume kimapenzi kwamba ni kutokana na kuota anafanya mapenzi kila siku.


Awali rafiki wa Madaha aliyeomba hifadhi ya jina lake aliliambia paparazi kuwa, mara kwa mara msanii huyo amekuwa akilalamika kuwa kila siku anaota akifanya mapenzi hali inayomfanya asiwe na hamu ya kuwa na mpenzi.


“Mwenyewe anasema ni hali inayomtesa sana, asubuhi akiamka anakuwa amechoka na muda mwingi anakuwa hana hamu ya kuwa na mpenzi,” kilidai chanzo hicho.

Baada ya kupata ‘tipu’ hiyo, mwandishi wetu alimtafuta Baby Madaha, alipopatikana alisema: “Ni kweli ndoto za kimapenzi zinanitesa sana na huwezi amini nimekuwa nikiota nafanya mapenzi na mwanaume mwenye sura ya Ronaldo (Mwanasoka wa kimataifa anayechezea Timu ya Real Madrid).
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top