tiko
tiko
“Niongee kidogo kuhusu hili kwa wanawake
na wanaume....hivi kuna baadhi ya Watu mnashindwa kabisa kumsifia mtu
bila kuponda wengine....!?? Au kupenda mtu bila kuchukia wengine...!?Kwa
ufupi tu iko hivi....Kila mwanamke duniani ana uzuri wake na a ana kitu
ambacho mwanamke mwingine hana,hata wanaume pia...!Sasa kuna watu
fulani hawawezi kabisa kumsifia mtu bila kumponda mwingine, inafurahisha
sana kutaka kulazimisha kuwa Mungu.....
hivi unafikiri Mungu alikuwa hayuko sawa
kufanya wanawake wawe wengi tena wengi zaidi ya wanaume, we fikiria tu
na utulize akili yako ya kipuuzi.....!!!Hapa ni duniani ukiona unataka
kuwa pekeyako pekeyako au kusifia mtu kwa kuponda wengine ni bora ufanye
maombi Mungu akupeleke/au ampeleke mtu wako sayari ya tofauti na dunia
kama Jupiter huko auu Pluto mana duniani ndo tumeshajazwa hvyo.
Maneno yamekuwa mengi Lakini maana yangu
ni hii hakuna Haja ya kumsifia mtu kwa kuponda wengine au kumpenda mtu
kwa kuchukia wengine”.-Lulu alimaliza
Tafakari chukua hatua!!!
tiko
tiko
Post a Comment