tiko
tiko
Baada ya kushinda tuzo ya tatu ya mwanasoka bora wa dunia katika tuzo za Ballon d’Or, mshambuliaji wa Real Madrid na Ureno Christian Ronaldo leo atavaa kiatu chake cha dhahabu kwa mara ya kwanza wakati wa mchezo wao dhidi ya Atletico Madrid.
Mchezaji huyo wa zamani wa Man United atavaa kiatu hicho kwa mara ya kwanza alichozawadiwa na kampuni ya Nike ambacho kina nembo ya Mercurial CR7 Rare Gold, kimetengenezwa kwa dhahabu na almasi.
Nakuhakikishia kwamba
nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia
wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment