tiko
tiko
Wabunge wa bunge la Burkina Faso wamekubali kupunguza mishahara yao kwa asilimia hamsini.
Uamuzi wa Wabunge hao unatokana na
kuibuka kwa malalamiko ya wananchi katika mitandao ya kijamii nchini
humo kuwa wamekua wakipokea kiasi kikubwa cha fedha zaidi ya milioni nne kwa mwezi huku mfanyakazi wa kawaida akipokea dola moja na nusu.
Mshahara huo unajumuisha marupurupu ya kuhudhuria vikao vya bunge, kulipia ofisi, bima ya afya pamoja na fedha za kununua Petrol.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari
kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga
na mimi
tiko
tiko
Post a Comment