tiko
tiko
Rapper wa East Coast Team, King Crazy GK amefunguka na kuweka wazi uhusiano wake wa kimapenzi na mwanadada Diva Loveness Love.
Akizungumza
na kipindi cha Mkasi kupitia EATV Jumatatu (Jan.12), GK alisema Diva ni
mpenzi wake bora kuliko wapenzi wake waliopita, huku akidai kuwa
mitandao ya kijamii imechangia ku-boost penzi lao.
“inawezekana,
kwa sababu ni mwema kwanza halafu na mitandao, unakuta watu wana
exchange information, mpenzi wangu wa sasa anazungumziwa sana kwa sababu
kuna njia nyingi za kupashana habari”alisema GK.
Baada
ya kauli hiyo mwanadada Diva ambae ni mtangazaji wa Ala za Roho ndani
ya Clouds Fm, kupitia ukurasa wake wa instagram aliandika:“Aww My
baby .. My Gk told ya .. I love him so much .. I love his Charm and his
intelligence . best Man On earth.. eeh niambieni kasemaje??”
tiko
tiko
Post a Comment