tiko
tiko
MSANII wa
filamu na muziki Ummy Wenslaus ‘Dokii’ amefunguka kuwa ndani ya mwaka
2014 hajapata mwanaume wa kuendana naye hivyo endapo akibahatika kupata
mwenye upendo wa dhati mwaka huu, atampa kila kitu anachokihitaji.
Akipiga stori na paparazi wetu, Dokii
alisema kitu kikubwa kilichomfanya awatoe wanaume moyoni kwa mwaka 2014
ni kutokana na wengi wao kutokuwa na upendo wa dhati.
“Siwezi kuwa na mpenzi wakati kila siku
naona wenzangu wanalia, sijui nitapata wapi mwanaume mwenye upendo,
wengi wapo kwa ajili ya kufanya ngono na mwisho wa siku wanakuumiza,”
alisema Dokii.
tiko
tiko
Post a Comment