tiko
tiko
Mchezaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameachana na mpenzi wake raia wa Urusi, Irina Shayk.
Wawili hao wamedumu kwa kipindi cha miaka mitano.
“Tunathibitisha kuwa Irina Shayk amevunja uhusiano wake na Cristiano Ronaldo,” mwakilishi wake aliiambia Page Six jana.
Tetesi
za kuachana kwa mastaa hao zilianza kuvuma baada ya Shayk kutoonekana
akiwa na Ronaldo kwenye tuzo FIFA Ballon d’Or jijini Zurich Jumatatu.
Badala
yake mchezaji huyo alisindikizwa na mama yake, Maria Dolores dos Santos
Aveiro, na mwanae Cristiano Jr aliyezaa na mwanamke asiyejulikana.
tiko
tiko
Post a Comment