tiko
tiko
Chama cha mapinduzi kimesema kitawawajibisha watendaji na baadhi ya wafuasi wa chama hicho walioshiriki katika kukihujumu chama hicho katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mapema
akiongea katika mkutano huo mbunge wa jimbo la Muleba kusini Profesa
Anna Tibaijuka wakati akiendelea kuwatoa wasiwasi wananchi wake juu ya
sakata la Tegeta Escrow lilikuwa likiendelea na kwamba yeye anaendelea
kusimamia shughuli za maendeleo katika jimbo lake naongeza kuwataka
wananchi kuwa sasa taifa linaelekea katika uchaguzi mkuu hivyo anahitaji
ushirikiano katika kuimarisha chama chake.
Profesa
Anna Tibaijuka amesema yeye hakuhusika kabisa katika sakata hilo bali
pesa za Escrow alipewa kutoka kwa mfanyabiashara James Rugemala hivyo
amewataka watanzania kutosikiliza maneno ya wanasaisa wanaoeneza chuki
dhidi yake.
tiko
tiko
Post a Comment