tiko
tiko
Mbunge wa NCCR–Mageuzi, James Mbatia.
Baada
ya James Francis Mbatia kuleta hoja ya dharura juu nguvu iliyotumiwa na
polisi dhidi ya maandamano ya CUF jana, ili ijadiliwe na wabunge kama
hoja ya dharura, Spika Makinda aliamuru serikali ilete majibu kesho
ndipo ijadiliwe.
Wabunge
walisimama kushinikiza hoja ijadiliwe lakini Makinda aliendelea na
msimamo wake wa hoja kujadiliwa kesho baada ya serikali kuleta majibu.
Hapo ndipo sintofahamu ilipozidi na kuleta kutoelewana kati ya wabunge
wa upinzani na spika na Ilibidi spika aahirishe bunge mpaka kesho lakini
baadaye akabadili na kusema litarejea saa kumi jioni leo.
tiko
tiko
Post a Comment