Realtime blog statistics Realtime blog statistics
Scanning..

Ajali ya moto uliounguza gari Ilala leo jioni, January 29

tiko tiko
Image00001
Jana jijini Dar kulikuwa na matukio ya nyumba moja maeneo ya Mwananyamala na Night Club moja eneo la Sinza Mori kuwaka moto.
Saa chache zilizopita katika Barabara ya Kawawa, Ilala Dar imetokea ajali nyingine ya moto, gari ndogo imewaka moto lakini hakuna mtu aliyeathirika kutokana na tukio hilo.
Mmiliki wa gari hilo Johns amesema alishtukia watu wakimuita kwamba gari yake inawaka moto kwa sehemu ya chini lakini hajajua kama moto huo kuna sehemu aliukanyaga au ni shoti iliyotoka kwenye gari hiyo.
Kikozi cha Askari wa zimamoto walifika na kuuzima moto huo lakini gari hilo lilikuwa tayari limetekea kwa moto.
Hizi ni picha za tukio hilo.
Image00001
Image00002
Image00003
.
Watu wakiwa wamelizunguka gari hilo baada ya kuwaka moto.
Image00005
Hakuna story itakayokupita mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter,  Instagram,  na Facebook ukijiunga na mimi
tiko tiko

Post a Comment

CodeNirvana
© Haki Zote Zimeifadhiwa Kalamu 1 | designed by tabasamu na ∂αиιєℓι
Code Nirvana
Back To Top