tiko
tiko
Kikosi
cha wanamaji nchini Indonesia kikisali kabla ya kuanza zoezi la
kuitafuta Ndege ya AirAsia QZ8501 katika bandari ya Pangkal Pinang
kwenye kisiwa cha Sumatra.
ZOEZI la kuitafuta Ndege ya AirAsia
QZ8501 iliyopotea ikiwa na watu 162 ikitokea Indonesia kwenda Singapore
jana limeendelea leo asubuhi.
Taarifa zilizopatikana kutoka eneo la
utafutaji ndege hiyo zinadai kwamba mabaki ya AirAsia QZ8501 yameonekana
baharini na kuna uwezekano ndege hiyo ipo chini ya bahari.
Saa 11:36 asubuhi, Ndege y
a AirAsia QZ8501 iliondoka Indonesia.
Saa 12:12 asubuhi rubani aliomba kuipandisha ndege mpaka futi 38,000 kutokana na hali mbaya ya hewa.
Saa 12:16 asubuhi AirAsia ilikuwa bado inaonekana kwenye rada.
Saa 12:18 asubuhi AirAsia QZ8501 ikapoteza mawasiliano na rada na mpaka sasa bado haijapatikana.

Post a Comment