tiko
tiko
U Heard ya leo inamhusu mwanamuziki wa Bendi ya FM Academia, Patcho Mwamba ambaye
kulikuwa na taarifa iliyoenea mitandaoni pamoja na picha kwamba
amepigwa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu ambapo yeye mwenyewe
amekanusha na kusema kuwa picha hiyo aliiweka baada ya kupatwa na
allege na aliiweka mtandaoni akiomba ushauri.
Baada ya hapo kukawa na story nyingine zilizosema Patcho ametishia
kumuua mtu ambaye aliandika kwenye mitandao kwamba msanii huyo alipigwa
baada ya kufumaniwa, kitu ambacho amekanusha kwamba sio kweli.
Kuhusiana na shutuma hizo Patcho amesema
lazima amchukulie hatua za kisheria mtu huyo aliyemzushia kwamba
amepigwa kutokana na kufumaniwa kwa kuwa amemchafulia jina lake kwa
kumzushia taarifa za uongo.
Kuisikiliza U Heard hiyo bonyeza play hapa.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia
mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter
instagram na facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment