tiko
tiko
"Jaman kwa wale mbao leo mmeskiza leo tena ya clouds fm na milipata kuskia story ya huyu binti hapa kwenye picha!
Kuwa ametoroka kwao Tanga kuja Dar kwa
sababu ya kulazimishwa kuolewa akiwa na umri mdogo kiukweli niliposkia
hivyo ikaniuma sana nikiwa kama mwanamke kama pia nikaona bora nimchukue
mpaka hapo familiya yake itapoMua kujitokeza mm ni moja wapo ya
changanoto nying nilizozipita nilipokuwa igunga watoto wadogo kubakwa
kupewa mimba wakiwa wadogo na hamna sheria yeyote inayochukuliwA huko
vijijin zaid ya kumalizana kifamily! Ili jambo la wasichana kuolewa
wakiwa wadogo hata shule hawajamaliza linanikera mnoooo mnooo jamani
dah! !
Hivi nyie naomba serikali itiemkazo
jambo hili watu wenye tabia kama hizo hatua kali za kisheria
zichukuriwe. Bint anaitwa upendo kiukweli anaupendo tup nae hapa
anafuraha zote! Mm nikimuangalia ni sawa na bint yangu yaani ni kadogo
kabisa dah! Nimejjifikia angewezaje kuishi na mume kwa umri pendo
anatakiwa asome ili baadae elim yake imsaidie! Mm napinga ukeketaji wa
watoto. Ubakwaji kwa watoto. Mimba katika umri mdogo. Na utoaj mimba.
Je ww???????
Imeletwa kwenu kwa hisani ya shishibaby"-Shilole alimaliza.
Pongezi kwa Shilole kwa moyo uliouonyesha kwenye jambo hili, Mungu akuongezee
tiko
tiko
Post a Comment