tiko
tiko
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee
alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu
Sheikh Komorian alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa jana
Jumapili Desemba 29, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua na familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa jana Jumapili Desemba 29, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa jana Jumapili Desemba 29, 2014
PICHA NA IKULU

Post a Comment