tiko
tiko
neyStar ambaye ukubwa wa jina lake umetokana na single kadhaa ambazo amekuwa akiwataja watu majina moja kwa moja kwenye nyimbo zake bila kuogopa,hii ni video ya single yake mpya inayoitwa Akadumba. Producer aliyeshiriki kwenye wimbo huu anaitwa Mr. T Touch ambaye ameshiriki pia kwenye single kadhaa za Ney,Video imetenegezwa na Director Kevin Bosco Jnl,karibu uitazame. Bonyeza play kutazama.
tiko
tiko
Post a Comment