tiko
tiko
Kila jicho liko kwao, hii ndio Couple ya mastaa yenye nguvu zaidi Marekani, Jay Z na Beyonce wako na mtoto wao Blue Ivy, December 04 ilikuwa sherehe ya siku ya kuzaliwa ya Jay Z, tukaona pichaz kibao wakiwa Iceland wakila good times.
Hawajarudi Marekani bado, December
ni mwezi wa mapumziko kwao, wanazunguka sehemu mbalimbali Duniani
wakienjoy, pichaz za mwisho walizoshare na sisi kwenye mitandao
inaonyesha wako zao Thailand, good times palepale, Queen Bey ameonekana kuenjoy vacation hiyo akiwa juu ya Tembo.
Bey, Jay , pamoja na binti yao Blue huenda wakasherekea mwaka mpya wakiwa hukohuko Thailand, tazama picha zao wakiwa Thailand.
Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi
tiko
tiko
Post a Comment